Kwa ulimbukeni huu ndio maana tuna watanganyika na wadanganyika, Hakuna kozi isiyo na umuhimu, hivi umeshawahi kujiuliza kama wote tutasoma udaktari hali itakuwaje? Je, kozi nyingine atasoma nani? Je, vyuo vilivyo na kozi zisizo na kipaumbele vifungwe sasa au vigeuzwe vyuo vya udaktari? Think beyond.