euston Milton
Member
- Jul 16, 2021
- 14
- 13
Nimemaliza kidato cha sita 2019 na nimefaulu vizur nikiomba vyuo napewa nafasi lakini sijaenda kusoma maana kila mwaka mkopo sipewi msaada jamani
Duuh pole Sana mzee.....Nimemaliza kidato cha sita 2019 na nimefaulu vizur nikiomba vyuo napewa nafasi lakini sijaenda kusoma maana kila mwaka mkopo sipewi msaada jamani
wameanza kutoa majibu ya applications?Nimemaliza kidato cha sita 2019 na nimefaulu vizur nikiomba vyuo napewa nafasi lakini sijaenda kusoma maana kila mwaka mkopo sipewi msaada jamani
Badowameanza kutoa majibu ya applications?
Mwaka huu bado hata hawajatoa majina tayari umesema kila ukiomba unakosa kwanini usisubili mkeka utoke kwanza?Nimemaliza kidato cha sita 2019 na nimefaulu vizur nikiomba vyuo napewa nafasi lakini sijaenda kusoma maana kila mwaka mkopo sipewi msaada jamani
Nimeomba mara tatu term hii ni ya nneMwaka huu bado hata hawajatoa majina tayari umesema kila ukiomba unakosa kwanini usisubili mkeka utoke kwanza?
Jaribu kuwapandia hewani.....au kama upooo Dar nenda ofisini kwao naimani watashughulikia swala lakoNimemaliza kidato cha sita 2019 na nimefaulu vizur nikiomba vyuo napewa nafasi lakini sijaenda kusoma maana kila mwaka mkopo sipewi msaada jamani
Bukoba hapa tena interior kabisaJaribu kuwapandia hewani.....au kama upooo Dar nenda ofisini kwao naimani watashughulikia swala lako
Wewe unahitaji maombi ya Mwamposa daahDaaah kama mimi tu, nmemaliza kidato cha 6 mwaka 2018,tangu muda sijawahi kunusa harufu ya mkopo wa bodi hivo nmekosa fursa ya kusoma bachelor,na mwaka huu nilikua out of vigezo vya uombaji wa mkopo japo chuo nmechaguliwa tena ila uhakika wa kwenda kusoma ni 1%

Kata Gani??? Bukoba hii.Bukoba hapa tena interior kabisa
Afu usikute alisoma private Kali kuanzia olevo na a level..,.... Wengi wao wanakosa km alisoma hz gavaement itakua Kuna shida km anakosaWewe unahitaji maombi ya Mwamposa daah![]()
Kerebe kisiwani nishakuwa mvuviKata Gani??? Bukoba hii.
Huyu hapa uncle 0784980676Kama upo DSM au una ndugu yako yupo dsm Mwambie anicheki inbox nimuunganishe na Mtu
Hapo kwenye kijani, unamaanisha nini?Daaah kama mimi tu, nmemaliza kidato cha 6 mwaka 2018,tangu muda sijawahi kunusa harufu ya mkopo wa bodi hivo nmekosa fursa ya kusoma bachelor,na mwaka huu nilikua out of vigezo vya uombaji wa mkopo japo chuo nmechaguliwa tena ila uhakika wa kwenda kusoma ni 1%
Mkuu, nilikua out of vigezo mwaka huu kwasababu bodi ya mkopo walitoa mwongozo kwa waombaji kuwa,wenye sifa ya kuomba mkopo ni waliomaliza kuanzia mwaka 2019 hadi 2023,,hivyo mi niliyemalza 2018 sikua na sifa hiyo.Hapo kwenye kijani, unamaanisha nini?