HESLB kutoa batch #3 kesho

HESLB kutoa batch #3 kesho

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imesema itatoa batch #3 kesho tar13 kwa wanafunzi takribani elfu9 wa mwaka wa kwanza 2015/2016 wenye sifa waliobakia.. kwa wale wanaosubr kaeni mkao wa kula
#kaliro_x
Source: Nipashe
 
kwa hiyo ni first year tu ndo wanastahili au umeripoti tofauti labda hiyo habari?
 
Ukipata mkopo wa bodi hata kama ni 0% mshukuru sana Mungu, maana hiyo INA maana utapata Meals and accommodation yote! kama ilivyo!
 
Mikopo Tayari Niangalizien S.2983/0013/2014 Na S2971/0013/2014
 

Attachments

  • Screenshot_2015-11-13-10-02-47.png
    Screenshot_2015-11-13-10-02-47.png
    5.5 KB · Views: 85
Hyo nyngn
 

Attachments

  • Screenshot_2015-11-13-10-10-03.png
    Screenshot_2015-11-13-10-10-03.png
    5.5 KB · Views: 75
Back
Top Bottom