Kuapeal vipi mbona hawatoi maelezo ya kutosha na kueleweka juu ya hili swala,tujue nani anatakiwa kuapeal aliyepata mkopo kidogo ama aliyekosa mkopo ?.Mpaka sasa nawashangaa hawa watendaji wa bodi,hawaeleweki,wababaishaji,wala rushwa na mafisadi wakubwa,kazi kunenepeana kwa pesa za rushwa lakini hakuna wanalolitenda pale,wamekula 30 elf yangu hvhv nawauliza majibu yao hayaeleweki,utendaji wao wa kazi uko chini hawajielewi na hawaelewi hawa jamaa,matusi kama mvua,hawajali watu customer care yao down,wamevunja mashariti ya mkataba ningewapeleka mahakamani mungu jalia yao wametetewa na "mlugo".Hii nchi mafsadi wengi na khal hii ikiendlea tutachoka tu tutatoana mhanga kama Al-shabab,M23,BOKO HARAM,ata wa syria haiwezekani unalipia huduma alafu mtu analete masihara hvhv,najua baadhi ya watendaji wa bodi mmo hacheni ubabaishaji siku tukivulugwa hapatatosha .