Ugali Supu JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 252 Reaction score 261 May 7, 2015 #1 Samahani wakuu. Nilikuwa nahitaji msaada .hv kama uliomba loan kwa mara ya kwanza ukakosa na kuappeal vlevle je ukitaks kuomba kwa mwaka wa pili je inawezekana kuomba kama New candidate(Applicant). Naomba msaada hapo ndugu.
Samahani wakuu. Nilikuwa nahitaji msaada .hv kama uliomba loan kwa mara ya kwanza ukakosa na kuappeal vlevle je ukitaks kuomba kwa mwaka wa pili je inawezekana kuomba kama New candidate(Applicant). Naomba msaada hapo ndugu.
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,957 Reaction score 6,837 May 7, 2015 #2 Inawezekana though sababu zile zile zilizokukosesha kwa mara ya kwanza na kwenye rufaa zitakukosesha vile vile Umesoma vizuri vigezo vyote vya mtu kusecure loan?Je unadhani ni sababu gani zilizokufanya ukakosa? Karibu
Inawezekana though sababu zile zile zilizokukosesha kwa mara ya kwanza na kwenye rufaa zitakukosesha vile vile Umesoma vizuri vigezo vyote vya mtu kusecure loan?Je unadhani ni sababu gani zilizokufanya ukakosa? Karibu
Ugali Supu JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 252 Reaction score 261 May 7, 2015 Thread starter #3 Vigezo vyote nnavyo coz nmesoma serkali mwanzo mwsho. pia wazazi hawana uwezo labda nlichokosea ni kusomq coz ya Non -priority. Bsc AF. ARU
Vigezo vyote nnavyo coz nmesoma serkali mwanzo mwsho. pia wazazi hawana uwezo labda nlichokosea ni kusomq coz ya Non -priority. Bsc AF. ARU