HESLB: continuing 2015/2016

HESLB: continuing 2015/2016

Kwa wale contnous wote insue yenu ya mkopo loan officer inatakiwa awasimamie vzur pia inatakiwa mmsumbue sana coz utaratibu wa contous sis tunategemea kupata majina kutoka kwa loan officer ya watu wa continous ndo tunayafanyia kazi haijalish umeapply au laah!! Kwa kipind hiki kipaumbele kilikua kwa first year kwanza then tunaanza na hao continous.... Kwahiyo make sure kwenye list ya majina atakayotuma loan officer uwepo maana dedline ya hayo majina ilikua tarehe 16.... Kwa maelezo zaid contact me ila nahc ujumbe umeeleweka vzur
 
>>>Naomba weka namba ya simu nikutafute tafadhali.
 
Mkuu weka namba ya cmu ili uweze kutupatia maelezo zaidi
 
Kwa wale contnous wote insue yenu ya mkopo loan officer inatakiwa awasimamie vzur pia inatakiwa mmsumbue sana coz utaratibu wa contous sis tunategemea kupata majina kutoka kwa loan officer ya watu wa continous ndo tunayafanyia kazi haijalish umeapply au laah!! Kwa kipind hiki kipaumbele kilikua kwa first year kwanza then tunaanza na hao continous.... Kwahiyo make sure kwenye list ya majina atakayotuma loan officer uwepo maana dedline ya hayo majina ilikua tarehe 16.... Kwa maelezo zaid contact me ila nahc ujumbe umeeleweka vzur

hapo umenena mkuu kwahiyo lini tutegemee
 
Wewe umesha andika jina kwa loan officer wa chuon kwenu

nimeongea na dogo kasema kuwa walimpelekea fomu zao huyo loan officer wakati wanataka wakazikusanye wazitume sasa hapo hajui kuwa ndio alichukua hayo majina au lah hebu nipe ufafanuzi maana yupo kijijni kwa sasa
 
Mi nakumbuka choni kwetu tuliambiwa tuandike majina labla yakufanya application na tuliandika, sasa sijuwi majina anayo yasemea hapo mkuu ambayo mwisho ilikuwa tarehe16
 
sijajua hapo naye anasema chuoni kwao hawakutangaziwa wakaandike hayo majina au ngoja niende nikamfwatilie vizuri maana asipopata huo mkopo akae tu huko kijijini kwanza mkoa wao ndio uliongoza kumpa magufuli kura nilishawaambia apiganie lowassa ashinde asome bure sasa wao mkoa wao ukaongoza kumpa kura,na mambo yamekuwa magumu mjini hapa sitaweza msaidia tena
 
Mmh, lakin mkuu kwaupande wangu hii elimu bure hadichuo siifagilii sana, chamsingi tupewe mkopo 100% tusome kwa bidii ili tupate kazi turudishe deni, Magufuli rais wetu chondechonde tuangalie na sisi continuing students tulioomba mkopo mwaka huu kwani mwaka jana walitunyima,tunamaisha magum sana
 
Kwa wale contnous wote insue yenu ya mkopo loan officer inatakiwa awasimamie vzur pia inatakiwa mmsumbue sana coz utaratibu wa contous sis tunategemea kupata majina kutoka kwa loan officer ya watu wa continous ndo tunayafanyia kazi haijalish umeapply au laah!! Kwa kipind hiki kipaumbele kilikua kwa first year kwanza then tunaanza na hao continous.... Kwahiyo make sure kwenye list ya majina atakayotuma loan officer uwepo maana dedline ya hayo majina ilikua tarehe 16.... Kwa maelezo zaid contact me ila nahc ujumbe umeeleweka vzur

sasa Kwa sie ambao majina yashapelekwa tutegemee lini allocations
 
wakuu kuna wanaoendelea waliopata mkopo ?

bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu inapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kuwa imetoa orodha ya awamu ya nne na ya mwisho yenye jumla ya waombaji wa mwaka wa kwanza 718 waliopangiwa mikopo.

Majina yote ya waombaji waliofanikiwa kupangiwa mikopo kutoka katika awamu zote nne yanapatikana kupitia mtandao wa bodi wa olas.heslb.go.tz na tovuti ya bodi (Higher Education Students' Loans Board -HESLB). Aidha, orodha hizo pia zimetumwa vyuoni kwa ajili ya taratibu za usajili.

Mwisho.

ndugu zangu continous students ambao wengi walikosa mkopo mwaka jana kuna tetesi na uvumi unaosikika sana kuhusu upataji wa mikopo..kisheria mnahaki ya kupata mikopo kabisa ila kuna tatizo moja ambalo maloan officer wengi aswa hapa udsm husa hawapeleki taarifa zenu board ya mikopo huwa wanawatu wao wanaowafahamu wao hili limekuwa tatizo sana ndugu zangu kuna rafiki yangu ilimkuta mwaka jana kipindi cha kuappeal mkopo taarifa zake hazikupelekwa heslb kufanya hakose mkopo alipoenda pale aliambiwa data zake hazipo na alikuwa na haki ya kupata mkopo... Ushauri wangu continous nendeni heslb mkahakikishe kama taarifa zenu zipo na kama hazipo rudi haraka chuoni kwako kwa loan officer mkazie maana ni wala rushwa wakubwa... Takukuru tunaomba ingilien kati kwa hawa loan officer.
 
kwa wale contnous wote insue yenu ya mkopo loan officer inatakiwa awasimamie vzur pia inatakiwa mmsumbue sana coz utaratibu wa contous sis tunategemea kupata majina kutoka kwa loan officer ya watu wa continous ndo tunayafanyia kazi haijalish umeapply au laah!! Kwa kipind hiki kipaumbele kilikua kwa first year kwanza then tunaanza na hao continous.... Kwahiyo make sure kwenye list ya majina atakayotuma loan officer uwepo maana dedline ya hayo majina ilikua tarehe 16.... Kwa maelezo zaid contact me ila nahc ujumbe umeeleweka vzur

bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu inapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kuwa imetoa orodha ya awamu ya nne na ya mwisho yenye jumla ya waombaji wa mwaka wa kwanza 718 waliopangiwa mikopo.

Majina yote ya waombaji waliofanikiwa kupangiwa mikopo kutoka katika awamu zote nne yanapatikana kupitia mtandao wa bodi wa olas.heslb.go.tz na tovuti ya bodi (Higher Education Students' Loans Board -HESLB). Aidha, orodha hizo pia zimetumwa vyuoni kwa ajili ya taratibu za usajili.

Mwisho.

ndugu zangu continous students ambao wengi walikosa mkopo mwaka jana kuna tetesi na uvumi unaosikika sana kuhusu upataji wa mikopo..kisheria mnahaki ya kupata mikopo kabisa ila kuna tatizo moja ambalo maloan officer wengi aswa hapa udsm husa hawapeleki taarifa zenu board ya mikopo huwa wanawatu wao wanaowafahamu wao hili limekuwa tatizo sana ndugu zangu kuna rafiki yangu ilimkuta mwaka jana kipindi cha kuappeal mkopo taarifa zake hazikupelekwa heslb kufanya hakose mkopo alipoenda pale aliambiwa data zake hazipo na alikuwa na haki ya kupata mkopo... Ushauri wangu continous nendeni heslb mkahakikishe kama taarifa zenu zipo na kama hazipo rudi haraka chuoni kwako kwa loan officer mkazie maana ni wala rushwa wakubwa... Takukuru tunaomba ingilien kati kwa hawa loan officer.
 
ndugu zangu continous students ambao wengi walikosa mkopo mwaka jana kuna tetesi na uvumi unaosikika sana kuhusu upataji wa mikopo..kisheria mnahaki ya kupata mikopo kabisa ila kuna tatizo moja ambalo maloan officer wengi aswa hapa udsm husa hawapeleki taarifa zenu board ya mikopo huwa wanawatu wao wanaowafahamu wao hili limekuwa tatizo sana ndugu zangu kuna rafiki yangu ilimkuta mwaka jana kipindi cha kuappeal mkopo taarifa zake hazikupelekwa heslb kufanya hakose mkopo alipoenda pale aliambiwa data zake hazipo na alikuwa na haki ya kupata mkopo... Ushauri wangu continous nendeni heslb mkahakikishe kama taarifa zenu zipo na kama hazipo rudi haraka chuoni kwako kwa loan officer mkazie maana ni wala rushwa wakubwa... Takukuru tunaomba ingilien kati kwa hawa loan officer.

huo ni uchunguzi ambao unafanywa na baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kama UDSM,ARU,IFM,TUMAINI,MUCCOBS,SUA na MZUMBE na TAKUKURU... Mwusho wa tatizo la Rushwa kwa maloan officer tutalipeleka mbele ya haki.... na watashukuliwa hatua za kisheria
 
Msaada tafadhali mtu yeyote mwenye namba ya simu ya BODI ambayo ukiipiga INAPOKELEWA maana naona ndg LUCOZ ameingia mitini.
 
Mi nakumbuka choni kwetu tuliambiwa tuandike majina labla yakufanya application na tuliandika, sasa sijuwi majina anayo yasemea hapo mkuu ambayo mwisho ilikuwa tarehe16

chuo gan upo ?na vipi ukienda kwa loan officer anasemaje ?
 
Back
Top Bottom