respect is a combination of admiration and fearUnajua maana ya heshima?
Niaje wakuu!!
Hii ni kwa wanaume
Ule usemi wa mjini heshima pesa shikamoo makelele.
mimi naukubali sana huu usemi sio siri, ukitaka kudhaminiwa
kuwa na hela, otherwise utabaki kulaumu watu ooooh! siku hizi flani
hanijali, ooooh demu wangu kaniacha/kanisaliti, tafuta pesa kwa nguvu zako zote.
Ukishakuwa na pesa mpendezeshe laazizi wako, haijalishi wengine wadai mpendezeshe hlf wao watammega kisela, haina shida ww tekeleza wajibu wako mengine mwachie Mungu.
w'end njema wakuu
Shikamooo is above all these nuisance japo kwa vijana wasiojitambua wanaona ni sawaNiaje wakuu!!
Hii ni kwa wanaume
Ule usemi wa mjini heshima pesa shikamoo makelele.
mimi naukubali sana huu usemi sio siri, ukitaka kudhaminiwa
kuwa na hela, otherwise utabaki kulaumu watu ooooh! siku hizi flani
hanijali, ooooh demu wangu kaniacha/kanisaliti, tafuta pesa kwa nguvu zako zote.
Ukishakuwa na pesa mpendezeshe laazizi wako, haijalishi wengine wadai mpendezeshe hlf wao watammega kisela, haina shida ww tekeleza wajibu wako mengine mwachie Mungu.
w'end njema wakuu
Huyo aliyekuambia wanawake wote wanapenda kuhongwa ni nani? inawezekana wewe unatafuta wanaojiuza, hawatafuti wala hawana mipango yoyote ya kimaisha wanasubiri mwanaume aje awatoe kimaisha. Kuwa makini na msemo wako huo utakupoteza.Niaje wakuu!!
Hii ni kwa wanaume
Ule usemi wa mjini heshima pesa shikamoo makelele.
mimi naukubali sana huu usemi sio siri, ukitaka kudhaminiwa
kuwa na hela, otherwise utabaki kulaumu watu ooooh! siku hizi flani
hanijali, ooooh demu wangu kaniacha/kanisaliti, tafuta pesa kwa nguvu zako zote.
Ukishakuwa na pesa mpendezeshe laazizi wako, haijalishi wengine wadai mpendezeshe hlf wao watammega kisela, haina shida ww tekeleza wajibu wako mengine mwachie Mungu.
w'end njema wakuu
Sawa mkuu, mawazo yako lakini.Huyo aliyekuambia wanawake wote wanapenda kuhongwa ni nani? inawezekana wewe unatafuta wanaojiuza, hawatafuti wala hawana mipango yoyote ya kimaisha wanasubiri mwanaume aje awatoe kimaisha. Kuwa makini na msemo wako huo utakupoteza.