Kuna mdada kaniomba nimpostie bro! Mimi nimetumika kama supika tu lakini sio tulia au ndugai [emoji23]Mbona unafumba sana rafiki
Kitu kizito kichogoni shee[emoji24]mwambie mdogo wako anipende [emoji25]Bwana sheee!! Kimekupata nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Kitu kizito kichogoni shee[emoji24]mwambie mdogo wako anipende [emoji25]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rosso mixer yokozuna [emoji23]Bro leo unakunywa kinywaji gani mda huu?[emoji848]Isije ikawa helkopter ishapaa tayari maana sijaelewa chochote apa [emoji1787]
Shee wewe sio wa kunianika hivi JF[emoji848][emoji25][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lipa kwanza madeni yangu.
Blaki Vladamir Putin!!
Basi endelea kuteseka shee😂😂
[emoji24][emoji1544][emoji1550]Basi endelea kuteseka shee[emoji23][emoji23]