Hawa huwa wanatafutwa na kulipwa pesa nyingi sana kukubali kuongea kwenye media. Watu wanaoshindana na Hermain Cain kisiasa, most probably wanahusika, au watu ambao hawapendi kuona mweusi anabaki white house, whatever the case, Politics is a dirty game!