Wewe unafikiri wazungu wangeiacha ngozi nyeusi tii tii tii, iwawekee usiku kwenye kinyang'anyiro?.. Usiniambie habari za obama, yule ni half white.
Na hilo ni Tatizo kubwa saaaaaaaaaaana kwa Waafrika. Wanapenda kudumisha mila.Kweli wenzetu wako serious, hii kwetu sio issue kabisa. Mtu ana nyumba ndogo za kutosha lakini kashinda! Mtu ana mke wa mtu lakini watu wamekomaa tu kumpigia debe.
He was stupid enough bila kujua wazungu wanamtumia. Imekula kwake. Alipata fursa ya kuwatukana watu weusi akijigamba sasa leo alichobakiza ni hasira tuuuuuuu hata akiulizwa swali simple anahamaki utafikiri anataka kupiga mtu. Hahahahah utavuna ulichopanda!
huwa sielewi kwa nini wanawake huona fahari to go before a mic and expose their past romantic affairs with men- anyone who knows, please let me know!
Who cares?