Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
Amani kwa wote wana jf,nawatakia heri ya mwaka mpya 2015 wenye baraka tele na mafanikio.naomba mwaka 2015 tujikite kwenye mijadala ya maana na yenye tija kwa taifa kama vile njia za kumaliza ufisadi serikalini,kura ya maoni ya katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.kila la kheri wana jf.