Wapenzi wana JF wote napenda kuwatakieni mwaka mpya ulioanza leo wa 1434 uwe wa furaha, amani na matumaini tele. HAPPY NEW YEAR 1434
nadhani huu ni mwaka mpya kwa mjibu wa dini ya kiislam. Kama nimepatia, naungana mkono na mtoa uzi kuwatakia waislam wote kheri ya mwaka mpya
na ni mwezi Muharam.....
Wapenzi wana JF wote napenda kuwatakieni mwaka mpya ulioanza leo wa 1434 uwe wa furaha, amani na matumaini tele. HAPPY NEW YEAR 1434
Mkuu, leo ni tarehe 1, mwezi wa kwanza, mwaka 1434. Usichoelewa hapo ni nini?Ukiulizwa umezaliwa mwaka gani unasemaje? vyeti vyako vinasemaje...leo ni tarehe ngapi mwezi gani?......watu mnapenda kujidanganya na kuleta ubishi tu alafu mkieleweshwa mnataka kuandamana
Fafanua kidogo,Kusherekea mwaka mpya nikuwaiga wasiokuwa waislamu na ni jambo lisilofaa,tumuigeni mtume wa Allah na ndo uislamu.
Wapenzi wana JF wote napenda kuwatakieni mwaka mpya ulioanza leo wa 1434 uwe wa furaha, amani na matumaini tele. HAPPY NEW YEAR 1434