ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,883
- 60,915
Nilitapeliwa na mvuvi niliyemuamini ila tulifanya Michongo sana nikaona karibia hela imerudiHivi kabla hujaleta hii thread hapa vipi ulishawahi kuwekeza kwenye hii biashara au na wewe ni motivationspeaker
Ulikuwa unafanyia wapi hizo biasharaNilitapeliwa na mvuvi niliyemuamini ila tulifanya Michongo sana nikaona karibia hela imerudi
Lindi nchinga 2Ulikuwa unafanyia wapi hizo biashara
Hii ndio yale yale ya kijana wa miaka 30 anamshauri mtu wa miaka 50 namna ya kukabiliana na changamoto za biashara.Hivi kabla hujaleta hii thread hapa vipi ulishawahi kuwekeza kwenye hii biashara au na wewe ni motivationspeaker
Huko nako utapeli upo.Nilitapeliwa na mvuvi niliyemuamini ila tulifanya Michongo sana nikaona karibia hela imerudi
Ok kiufupi ukiwekeza kwenye biashara ya uvuvi uwe na uvumilivu sanaLindi nchinga 2
Nyani wa kwenye zoo anapomshauri nyani wa Serengeti kukabiliana na chui duma na simbaHii ndio yale yale ya kijana wa miaka 30 anamshauri mtu wa miaka 50 namna ya kukabiliana na changamoto za biashara.
Sana maana ni washenzi wavuviOk kiufupi ukiwekeza kwenye biashara ya uvuvi uwe na uvumilivu sana
Unaishi tu nao vzr hawana shida ukiwanunulia safari lager 10 umewamalizaBora boda boda kuliko izo mishe maafsa uvuvi n wasumbufu sn kuliko hata trafiki maushuru n mengi mno
Wavuvi wana akili mbovu ilifikia hatua nikawa nawasweka lupango tuSana maana ni washenzi wavuvi