Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,611
- 164,629
Ndicho kilichomfanya auache u RC lakini bado akaukosa u Minister.Jamaaa Jinga sana linataka uwaziri na jk anaweza kulipa si ndo anapenda watu wanaofikiri kwa makalio
Huyu mh.kila anaposimama bungeni huwa napati shida sana kumsikiliza kwani mara kwa mara amejigeuza kuwa mtetezi wa serikali na si mtetezi wa wananchi waliomchagua.
Mheshimiwa, wewe kama mbunge, kazi yako kubwa ni kuisimamia na kuishauri serikali na si kila wakati kuponda hoja za wenzanko, hasa wapinzani,wanapoikosoa serikali.
Imefika hatu kila unaposimama bungeni binafsi huwa natamani hata kubadili channel kwani huwa sivutiwi kabisa na michango yako mingi ndani ya bunge.
Waheshimiwa,igeni mifano ya wabunge kama Mnyika,Bulaya,Mdee,Filikunjombe,Mbowe na Kangi Lugulo na wengine wachache kwa kujenga hoja za msingi na kusimamia maslahi ya wananchi ndani ya bunge.
Pamoja na wote hao niliowataja;naomba niseme tu,kwa mtazamo wangu;mbunge ambae ni the best na wakuigwa katika utungaji wa sheria hasa katika upitishaji wa vifungu, ni mh John Mnyika.
Huyu ni kijana mdogo tu lakini kwakweli huwa analeta marekebisho ya msingi sana japo huwa hayaungwi mkono na wengi.
Waheshimiwa, tuteendeeni haki sisi wananchi muwapo humo bungeni.
Pia alifilisi shirika la Madawa la Taifa lilikuwa chini ya wizara ya biashara na viwanda baada ya kutoka RTC,naye ni mwizi mkubwa.Kwa vita vya wahujumu uchumi aliwekwa ndani isanga dodoma miezi 6 kwa kuhujumu shirika la rtc dodoma
Wewe mshabiki wa chadema tutegemee uitakie mema ccm acha ulofa
Jamaaa Jinga sana linataka uwaziri na jk anaweza kulipa si ndo anapenda watu wanaofikiri kwa makalio
Mkuu ni kweli Lissu yuko vizuri,lakini Mnyika,kwa mtazamo wangu,huwa analeta amendment ambazo naweza kuziita ni zenye mashiko sana.Mkuu, siyo Lissu ni Mnyika tena? Mimi naamini Lissu ni mzuri kwenye eneo hilo ila tatizo lake ni jazba. Mnyika hana jazba kama Lissu. Pia juzi nimemshuhudia Mkosamali naye akitoa vitu mwanana kwenye tasnia ya sheria.
Wewe mshabiki wa chadema tutegemee uitakie mema ccm acha ulofa
Mkuu,achana na hao wajinga wajinga kila kitu ushabaki bila kuangalia uhalisia wa mambo.Vitu vingine haviendi kishabiki, je Bulaya na Lugola ni wabunge wa chama gani?
Huyu mh.kila anaposimama bungeni huwa napati shida sana kumsikiliza kwani mara kwa mara amejigeuza kuwa mtetezi wa serikali na si mtetezi wa wananchi waliomchagua.
Mheshimiwa, wewe kama mbunge, kazi yako kubwa ni kuisimamia na kuishauri serikali na si kila wakati kuponda hoja za wenzanko, hasa wapinzani,wanapoikosoa serikali.
Imefika hatu kila unaposimama bungeni binafsi huwa natamani hata kubadili channel kwani huwa sivutiwi kabisa na michango yako mingi ndani ya bunge.
Waheshimiwa,igeni mifano ya wabunge kama Mnyika,Bulaya,Mdee,Filikunjombe,Mbowe na Kangi Lugulo na wengine wachache kwa kujenga hoja za msingi na kusimamia maslahi ya wananchi ndani ya bunge.
Pamoja na wote hao niliowataja;naomba niseme tu,kwa mtazamo wangu;mbunge ambae ni the best na wakuigwa katika utungaji wa sheria hasa katika upitishaji wa vifungu, ni mh John Mnyika.
Huyu ni kijana mdogo tu lakini kwakweli huwa analeta marekebisho ya msingi sana japo huwa hayaungwi mkono na wengi.
Waheshimiwa, tuteendeeni haki sisi wananchi muwapo humo bungeni.
Huyu mh.kila anaposimama bungeni huwa napati shida sana kumsikiliza kwani mara kwa mara amejigeuza kuwa mtetezi wa serikali na si mtetezi wa wananchi waliomchagua.
Mheshimiwa, wewe kama mbunge, kazi yako kubwa ni kuisimamia na kuishauri serikali na si kila wakati kuponda hoja za wenzanko, hasa wapinzani,wanapoikosoa serikali.
Imefika hatu kila unaposimama bungeni binafsi huwa natamani hata kubadili channel kwani huwa sivutiwi kabisa na michango yako mingi ndani ya bunge.
Waheshimiwa,igeni mifano ya wabunge kama Mnyika,Bulaya,Mdee,Filikunjombe,Mbowe na Kangi Lugulo na wengine wachache kwa kujenga hoja za msingi na kusimamia maslahi ya wananchi ndani ya bunge.
Pamoja na wote hao niliowataja;naomba niseme tu,kwa mtazamo wangu;mbunge ambae ni the best na wakuigwa katika utungaji wa sheria hasa katika upitishaji wa vifungu, ni mh John Mnyika.
Huyu ni kijana mdogo tu lakini kwakweli huwa analeta marekebisho ya msingi sana japo huwa hayaungwi mkono na wengi.
Waheshimiwa, tuteendeeni haki sisi wananchi muwapo humo bungeni.
Kwakweli siondoki kwa TV akichangia Mnyika,Sirinde,Lisu,Machari,Mkosamali na Lugola