Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,586
- 28,748
teh teh tehKujipodoa!! huu msamiati nahisi unawahusu sana wakina Dada,,,anyway jirembe mwana
teh teh teh , hawa vijana ndio baadaye wanakuwa wanaume wa DarVijana wa Dar sijui wamekumbwa na jinamizi gani....yaani maneno haya yanatoka kwenye kinywa cha mwanamume kabisaa.....???
Mkuu hawa hawawezi kuwa wanamume watabaki tu kuwa wavulana mpaka pale akili zao zitakapo komaaa...teh teh teh , hawa vijana ndio baadaye wanakuwa wanaume wa Dar
Atuvitie wanaume wenzakemwanaume unajipodoa ili umvutie nani sasa
***Vijana wa Dar sijui wamekumbwa na jinamizi gani....yaani maneno haya yanatoka kwenye kinywa cha mwanamume kabisaa.....???
Ndio hivyo ndugu yangu nao wanajiremba.Vijana wa Dar sijui wamekumbwa na jinamizi gani....yaani maneno haya yanatoka kwenye kinywa cha mwanamume kabisaa.....???