Help

wazabangah1

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
315
Reaction score
114
Kwa mwenye uelewa wa hizi flat screen mbili,
"Star x na hisense"

Yaani kichwa kimegoma kabisa naomba msaada wa maelezo yatakayonishawishi kununua moja ya brand hizo tajwa. Mfuko wangu uko na 300K hivyo nahitaji sana kuwa na huduma hiyo, maana chogo nimechoka kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…