asante umeuliza, hii ni project inayofanywa na wanafunzi wa east coast college, wanafunzi hawa wanaenda kwa shule, individuals na makampuni kujaribu ku raize funds, hizo funds zitatumika kuwapa scholarships kwenye zile shule zilizo participate kwenye uhuru walk na shule tunazo approach in private na public schools. asante