Wide_awake Member Joined Aug 28, 2011 Posts 54 Reaction score 40 Jun 13, 2012 #1 wakuu natumia simu ya Mi-A300 ina OS ya android v.2.2 (froyo) tafadhali kwa yeyote anayefahamu kama naweza kui'upgrade kwa android version ya juu zaidi hata at least v.2.2.1 naomba anisaidie.. pia kwa mawazo tofauti, ushauri au maoni....
wakuu natumia simu ya Mi-A300 ina OS ya android v.2.2 (froyo) tafadhali kwa yeyote anayefahamu kama naweza kui'upgrade kwa android version ya juu zaidi hata at least v.2.2.1 naomba anisaidie.. pia kwa mawazo tofauti, ushauri au maoni....