Tupia maelekezo ya Arusha pia au ni inbox kama vipi, manake utasaidia wengi me pia nahitaji kubadili betri kwenye ihpone 3gs ntashukuru sana kwa maelekezo.
Hata cjacheck kaka na sijui nichekie wapi nasikia mpaka uwapekekee apple wenyewe sasa hapa kwetu tz tutawapatia wapi ila wacha waziefu watuambie!
kuna rafiki yangu alibadilisha na bei ya battery mpya inarange between 35,000-45,000 na fundi ni yeye ngoja nikupm namba za huyu wa arusha mkuu...
Pamoja sana mkuu!
Na mimi pia naomba hizo contact mkuu