Help in command promt

Ngalewa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
97
Reaction score
11
Nili lock folder kwa cmd D:cacls "folder name" /p everyone:n (press enter) and to unlock cacls "folder name" /p everyone:f (press enter) mwanzo ilikuwa inafanya vizur ila sasa hvi nimelock ila nikitaka kuunlock inaandika access denied msaada wenu kwa mjuzi.
 

hapo unapoandika hizo command huwa upo kwwenye directory gani? hakikisha upo kwenye directory yenye folda husika pia jaribu kurun cmd kama admin
 
naandika command nikiwa kwenye disk d ambayo ina hilo file na je nita run vi kama admin
 
naandika command nikiwa kwenye disk d ambayo ina hilo file na je nita run vi kama admin

fungua Command prompt kama administrator ili upate full control. pale kwenye search ya start menu andika cmd then ikitokea right click halafu chagua Run as Administrator halafu ikifunguaka by default utakuwa kwenye system directory i.e C:\Windows\system32> hapo sasa change kutoka kwenye system dir kwenda kwenye local disk D andika cd D:\ baada ya hapo endelea na hizo command zako za ku-unlock hilo folder.
 
hebu jaribu hii command kwanza (takeown /R /f halafu path ya hilo file) then tumia hiyo cacls command tena
 
nilifanikiwa kuli unlock ilikuwa nirun cmd as admin.Thanx Nyasiro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…