Nimejitahidi kuangalia sites mbalimbali via google nimetoka patupu. sasa kama kuna mtu keshawahi fanya hii kitu naomba animwagie maujuzi hapa. Optical drive-cd rom yangu imegoma na sina option nyingine ya kuinstall window XP.
N.B. Nimeinstall linux-ubuntu through pendrive na ndiyo ninayoitumia kwa sasa na kwa msaada tu how to install Linux using flush ni kwamba:
Niliweka live dvd ubuntu(at the time rom inafanyakazi)..kwenye system-adminstration-start up disk creator. Kutoka pale unachagua file lako la OS unachagua tena pendrive-unaformat then unatengeneza bootable OS to the flush. hope nimeeleweka.
Umejaribu hii?
Install Windows 7 From USB Drive [Requires 2 Simple Steps]
Key tool utazohitaji ni
Kwa windowx XP inaweza kuwa ngumu hasa kama HDD ni SATA. But uki google zaidi utafanikiwa
- Windows 7 ISO Image file
- UNetbootin
hii ndio naifatilia sasahivi online...bt kama kwa XP itakuwa ngumu tatizo litakuwa palepale!!coz Xp ndio nimeiweka first priority,hii window 7 inazingua bt i need to knw also.
akuna kitu hicho lazima iboot from cd ila unaweza fanya installation kwa kupitia networking kwa kushare cd rom drive, lakin kwa kuboot from divece ni ngumu
The problem windows XP nadhani haikuwa orginally il designed na option ya boting from USB. Pia na suala la. BIOS kwani mashine yako BIOS version zake zikoje
Anyway endelea kucheki ukifanikiwa utatujulisha kama unataka XP na kama HDD yako ni SATA iitabidi utengeze custom ISO image yenye drives za SATA. Hii tena ni issue nyingine
Uzuri wa Window 7 OS ina generic SATA drive so inaondoa some complication.
Its all depend na hardware specs ulizonazo . jinsi ilivyorahisi kwenye ubuntu inaweza isiwe rahisi hivyo kwenye windows
Kuna nyingine hii hapa ni kwa XP. Installing Microsoft Windows XP from usb device or SD card | Windows XP
Hii nyingine ni instruction za USB kwa windows 7 Kevin's Blog
but I guess wewe ni mtaalam so u have your back ups