kwanza unataka kuhamisha apps zipi?? maana kuna apps hata zikiwa downloaded haziwezi hamishika kwenda kwenye SD.
Jaribu app iitwayo Android Assistant hii app ina features nyingi uki fungua subiri sekunde chache kisha click top right corner pottery kisha chagua app2sd subiri i load then maliza kazi kwa ku click app then ita fungua details panel wewe chagua move to sd kama hiyo option iko active, option ya move to sd utaipata bottom right of the details panel.
kwa kuanza hamisha games hizi ni lazima zitakubali
usi sahau kuleta feedback