HELP Acer eRecovery Management

Bob mussa

Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
9
Reaction score
0
heshima mbele wakuu.
nilikua najaribu ku restore window iliyokuwepo mwanzoni kwenye DELL D270 kwa kutumia Acer eRecovery Management but restore system kila ikifika kwenye 99% ina stuck kwa mda wa masaa karibu 6 nikajaribu kuizima lakini kila nikiwasha ina niletea tena pop ya hiyo acer erecovery management na inakuja na option zile zile za;
SELECT RESTORE TYPE na pia kuna EXIT, nikijaribu kuselect EXIT computer ina restart na kurudia tena hiyo pop up.so nilikua na hitaji msaada wenu wakuu kuweza ku esc hii ishu. pia kama itawezekana ku instal window kwa kutumia USB flash drive (setup za window 7 ninazo kwenye flash ila nikichomeka kwenye hiyo pc hai run automatic kama CD). Natanguliza shukurani.
 
Ingia kwenye Bios halafu kwenye boot options chagua USB kama first choice. Na je hiyo flash umeitengeneza kuwa bootable au umecopy tu?
 
Nimejaribu kuweka USB kama chaguo la kwanza but hai no respond but nimecopy tuu hiyo os kwenye flash, kwakua nimejaribu kutumia Windows 7 USB/DVD Download Tool kila nilchagua source file location kwa ku browse lililefile la window 7 kwakua nililonalo ni os na sio iso (image) hairecognize. ila kunakitu nimejaribu kugundua kutokana na msaada wako wa mawazo je unaweza kunisaidia link ya kudownload ISO WINDOW 7 iliyo compresed kwakua yenyewe nimeona in 3.7gb nashukuru
 
fanya hivi kama una ashampoo au power iso, tumia ashampoo au power iso kucreate image ya hiyo os yako, kisha icopy kwenye flash yako kwa kutumia hyo windows 7 usb/download tool.
au iformat flash yako kuwa NTFS then ndo uweke hiyo os yako kwa kuicopy kawaida (note njia hii sometimes uwa inakataa)
Computer haiboot kwakuwa flash yako sio bootable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…