Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
karibu sana YM.
Naenda kumtafuta Katavi aje akupatie kinywaji wewe endelea kusoma hayo magazeti hapo sebuleni.
Samahani mgeni nimechelewa, nilikuwa natafuta vinywaji, unatumia kinywaji gani?
Karibu Master.
Karibu