selina mrembo
Member
- May 18, 2020
- 54
- 68
Kwani nina mimba ha ha jaman si nimeulz swalInashauriwa kuanza kliniki ya ujauzito mimba ikiwa na umri sawa au chini ya wiki 12
Hongera kwa kuconcive.Nilipata siku zangu mwanzoni mwa mwezi wa tano nikimaanisha kuanzia 1..2.3..sikumbuki nilitumia siku ngapi ila tareh 13 ya mwezi huo nilikutana na mtu nina shida ya vidonda vya tumbo pia sasa maeneo ya chini ya kitovu nashindwa kuelewa nina shida gani.
Sent using Jamii Forums mobile app