HELLOO GUYS tufundishane mbinu pendwa

Changed ID

Member
Joined
Aug 5, 2018
Posts
79
Reaction score
69
Habari za mida wakuu,kuna mbinu flani imejitokeza kwa baadhi ya watu wachache ya kuunga vifurushi hasa gb 60 kwa sim card za voda kwa kubadili IMEI za simu hasa Tecno Y2,Huawei na nyingine nyingi.....Mwenye utaalamu huu naomba atujuze kwa faida yangu na wengine wasiojua mbinu hiyo.....Ahsanteni
 
Naam,
Hiyo mbinu imekua ikitumika kwa simu ambazo ukinunua unapata ofa fulani esp gb10,60 dk kadhaa na sms.
Kinacho matter ni kutumia ile mtk engineering kwaajil ya kugenerate imei na wengine hujumlisha namba ya pili kutoka kulia kwenda kushoto haswa (manually)iwapo watakua wame generate imei nyingi.
 
Kubadili emei kupitia MTK engineering mode nimewahi jaribu lakini sikufanikiwa kunasa hiyo offer sasa sijui msaada zaidi naupataje ndio maana nimekuja hapa kuuliza
 
Bro kuwa makini na mleta mada wazi anajua anahitaji ufunguke wanaofaidika wasifaidike .
 
Mkuu msaada jinsi ya kugenerate hizo IMEI...fafanua vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…