Hello

Hello

MANYASANI

Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
46
Reaction score
13
Natafuta kazi ya ukondakita. Kwa hapa dar es salaam.......mie muaminifu na mcahapakazi kwa mawasiliano zaid kama unayo gari nishutue email au kwa kukoment .....mymkee@gmail.com
 
Ukondakita ndio ushuzi gani?
 
Kama umeshindwa kujua jukwaa la kazi lilipo, kazi ya ukonda utaiweza kweli ?? Naona hauko sawa utagombana na dreva wako kila siku
 
Tanzania inachangamoto na tatizo moja wapo niwazembe wakufikiri na kufanya kazi
 
Kama umeshindwa kujua jukwaa la kazi lilipo, kazi ya ukonda utaiweza kweli ?? Naona hauko sawa utagombana na dreva wako kila siku

Sidhani kama kutokujua jukwaa la kazi kunamchango wowote katika ufanisi wa kazi.
Kwa hoja yako wewe ndo unaweza usiwe sawa.•
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom