P Popompo JF-Expert Member Nov 9, 2010 409 91 Nov 13, 2010 #1 Nawasalimu wana jamii me ni mgeni wenu naomba mnipokee tupeane mawazo ya kulijenga taifa letu.
kisu JF-Expert Member Mar 31, 2009 1,005 383 Nov 13, 2010 #2 Karibu Popompo. Kwa niaba ya wanajamvi tutashirikiana kimawazo katika kujenga taifa na kuwafichua mafisadi wote.
Karibu Popompo. Kwa niaba ya wanajamvi tutashirikiana kimawazo katika kujenga taifa na kuwafichua mafisadi wote.
Pacemaker Member Oct 4, 2010 19 1 Nov 13, 2010 #5 Karibu, Tanzania yetu inatuhitaji sote kwa pamoja tujumuike kujenga jamii imara ya kiraia. Mchango wako ni wa muhimu kufikia azma hiyo.Jitahidi tumia vizuri nyezo zilizopo kufanikisha Karibu sana.
Karibu, Tanzania yetu inatuhitaji sote kwa pamoja tujumuike kujenga jamii imara ya kiraia. Mchango wako ni wa muhimu kufikia azma hiyo.Jitahidi tumia vizuri nyezo zilizopo kufanikisha Karibu sana.
R Rugemeleza JF-Expert Member Oct 26, 2009 668 136 Nov 13, 2010 #7 Wakaribishwa na tupe mchango wako mzuri.
P Popompo JF-Expert Member Nov 9, 2010 409 91 Nov 13, 2010 Thread starter #8 lasikoki said: karibu sana pompoo Click to expand... nawashukuru wote tusongeshe ktk ujenzi wa taifa