Hello

Popompo

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
409
91
Nawasalimu wana jamii me ni mgeni wenu naomba mnipokee tupeane mawazo ya kulijenga taifa letu.
 
Karibu Popompo. Kwa niaba ya wanajamvi tutashirikiana kimawazo katika kujenga taifa na kuwafichua mafisadi wote.
 
Karibu, Tanzania yetu inatuhitaji sote kwa pamoja tujumuike kujenga jamii imara ya kiraia. Mchango wako ni wa muhimu kufikia azma hiyo.Jitahidi tumia vizuri nyezo zilizopo kufanikisha Karibu sana.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom