Hello

Endelea kumtafuta ... ila usisahau ibada coz mume mwema anatoka kwa MUNGU pekee!
 
UMEPATAAAA......!
Sifa zangu;
Mrefu wa futi 6
Maji ya kunde
Nakunywa pombe
navuta sigara asubuhi mchana na jioni,kwa siku vipakti vi5 na nina mpango wa kuongeza japo vifike 10
Nakunywa pombe sometimes nikilewa naweza kukutwanga makofi...,
Michepuko siku mojamoja,,,!
Sina kazi ya kueleweka ila nina Pesa Chafu.

Ukivutiwa na sifa hizo nitafute...!
 
Bila shaka ni mimi......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…