Hello

mfalme wa wafalme karibu sana!!ningependa kuwa mtumishi wako your majesty!!
feel at home your majesty..
 
karibu sana keybody yako unaiona kweli anyway ukihitaji msaada tutakusaidia !
umekula munyu nyingi sana Kingi
 
umekosea kidogo dadaa,
huyu ni king of king, siyo king of kings
kweli bwana,thanx for corection,hata mie nilistukia nimekosea nashukuru king mwenyewe amenistahi kwa kukosea jina lake.
niwie radhi your majesty popote ulipo!
 
Asante sana cheusimangala!!! daa jina lako cjui kama linaendana na ulivyo
jina hili linaendana kabisa na mimi your majety..sbb mie nimezaliwa afrika,ni binti afrika ambaye kila nikijitazama nasema sifa na utukufu apewe mungu aliyependa niwe muafrika,naona fahari kuwa mmoja wa mabinti wa kiafrika na kwa kuuheshimu uafrika alionipa mungu situmii dawa yeyote kubadili nywele,wala rangi yangu ili nifanane na britney spears.
ndio maana mie ni cheusimangala=bintiafrika.
nadhani nimejibu vyema swali lako your majesty.
 
umekosea kidogo dadaa,
huyu ni king of king, siyo king of kings

Amoeba nimemsamee unajua wote ni binadamu

karibu sana keybody yako unaiona kweli anyway ukihitaji msaada tutakusaidia !
umekula munyu nyingi sana Kingi

1stlady, maisha yenyewe magumu now nafukuzia 100z yrs

jina hili linaendana kabisa na mimi your majety..sbb mie nimezaliwa afrika,ni binti afrika ambaye kila nikijitazama nasema sifa na utukufu apewe mungu aliyependa niwe muafrika,naona fahari kuwa mmoja wa mabinti wa kiafrika na kwa kuuheshimu uafrika alionipa mungu situmii dawa yeyote kubadili nywele,wala rangi yangu ili nifanane na britney spears.
ndio maana mie ni cheusimangala=bintiafrika.
nadhani nimejibu vyema swali lako your majesty.

Thanks for that cheusimangala

Karibu Mkuu wa Wakuu...Jisikie uko nyumbani....

dreamliner niko home tayari
 
karibu mdau lakini naona jina lako lina makosa king of king ????? supposed to be king of kings instead...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom