B Bad Spender Member Joined Aug 21, 2013 Posts 23 Reaction score 1 Aug 22, 2013 #1 Hivi kwani mapenzi ni utumwa baina ya wawili waliopendana?
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Aug 22, 2013 #2 Bad Spender said: Hivi kwani mapenzi ni utumwa baina ya wawili waliopendana? Click to expand... siyo kabisaaaah! Mapenzi ni raha faraja furaha navyote vinavyohusiana na hivyo! Ukiona unajihisi mtumwa ktk mapenzi kimbia hapo HUJAPENDWA!
Bad Spender said: Hivi kwani mapenzi ni utumwa baina ya wawili waliopendana? Click to expand... siyo kabisaaaah! Mapenzi ni raha faraja furaha navyote vinavyohusiana na hivyo! Ukiona unajihisi mtumwa ktk mapenzi kimbia hapo HUJAPENDWA!
W Wisest man JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 993 Reaction score 333 Aug 23, 2013 #3 Munkari said: siyo kabisaaaah! Mapenzi ni raha faraja furaha navyote vinavyohusiana na hivyo! Ukiona unajihisi mtumwa ktk mapenzi kimbia hapo HUJAPENDWA! Click to expand... jibu ni ndiyo au siyo, chagua moja.
Munkari said: siyo kabisaaaah! Mapenzi ni raha faraja furaha navyote vinavyohusiana na hivyo! Ukiona unajihisi mtumwa ktk mapenzi kimbia hapo HUJAPENDWA! Click to expand... jibu ni ndiyo au siyo, chagua moja.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Aug 23, 2013 #4 Mapenzi si utumwa. Wisest man said: jibu ni ndiyo au siyo, chagua moja. Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Aug 23, 2013 #5 wisest man said: jibu ni ndiyo au siyo, chagua moja. Click to expand... siyoooooo!
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,336 Aug 23, 2013 #6 Bad Spender said: Hivi kwani mapenzi ni utumwa baina ya wawili waliopendana? Click to expand... kama ni utumwa kwako sio kwa kila mtu ebooo tena ukome
Bad Spender said: Hivi kwani mapenzi ni utumwa baina ya wawili waliopendana? Click to expand... kama ni utumwa kwako sio kwa kila mtu ebooo tena ukome