Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Dec 11, 2018 #101 Joselela said: Kutiana nuksi tu mwisho wa mwaka.... Click to expand... Kosa unalofanya mwishoni mwa mwaka linakuwa kosa la kufungia mwaka ujue.
Joselela said: Kutiana nuksi tu mwisho wa mwaka.... Click to expand... Kosa unalofanya mwishoni mwa mwaka linakuwa kosa la kufungia mwaka ujue.
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Dec 11, 2018 Thread starter #102 Joselela said: Kutiana nuksi tu mwisho wa mwaka.... Click to expand... Mimi nakutia nuksi?? Nisamehe mkuu unaweza kuniignore usipate hiyo nuksi.
Joselela said: Kutiana nuksi tu mwisho wa mwaka.... Click to expand... Mimi nakutia nuksi?? Nisamehe mkuu unaweza kuniignore usipate hiyo nuksi.
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Dec 11, 2018 #103 Mzigua90 said: Ndio mkuu. Vyuma mpaka huku Click to expand... Nina ka huawei y530 hapa bado kapo kwenye good shape. Utaweza kukatumia ?
Mzigua90 said: Ndio mkuu. Vyuma mpaka huku Click to expand... Nina ka huawei y530 hapa bado kapo kwenye good shape. Utaweza kukatumia ?
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,824 Reaction score 9,641 Dec 11, 2018 #104 Kwahiyo ataanza mwaka fresh... Basi nimejifunza kitu KIPYA hapa!!! Dreka said: Kosa unalofanya mwishoni mwa mwaka linakuwa kosa la kufungia mwaka ujue. Click to expand...
Kwahiyo ataanza mwaka fresh... Basi nimejifunza kitu KIPYA hapa!!! Dreka said: Kosa unalofanya mwishoni mwa mwaka linakuwa kosa la kufungia mwaka ujue. Click to expand...
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Dec 11, 2018 #105 Joselela said: Kwahiyo ataanza mwaka fresh... Basi nimejifunza kitu KIPYA hapa!!! Click to expand... Ndio hivo mzee kaka
Joselela said: Kwahiyo ataanza mwaka fresh... Basi nimejifunza kitu KIPYA hapa!!! Click to expand... Ndio hivo mzee kaka
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,735 Dec 11, 2018 #106 Ndo hiyo naitumia Dreka said: Nina ka huawei y530 hapa bado kapo kwenye good shape. Utaweza kukatumia ? Click to expand...
Ndo hiyo naitumia Dreka said: Nina ka huawei y530 hapa bado kapo kwenye good shape. Utaweza kukatumia ? Click to expand...
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Dec 11, 2018 #107 Mzigua90 said: Ndo hiyo naitumia Click to expand... Duùu. nikajua unatumia aifoni seven mkuu
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,824 Reaction score 9,641 Dec 11, 2018 #108 amu said: Mimi nakutia nuksi?? Nisamehe mkuu unaweza kuniignore usipate hiyo nuksi. Click to expand... Jamani umenishutua kinoma kwa comment yako.... Nimemaanisha huyo mtu sio wewe amekutia nuksi... Samahani dada kwa kukufahamisha vibaya!
amu said: Mimi nakutia nuksi?? Nisamehe mkuu unaweza kuniignore usipate hiyo nuksi. Click to expand... Jamani umenishutua kinoma kwa comment yako.... Nimemaanisha huyo mtu sio wewe amekutia nuksi... Samahani dada kwa kukufahamisha vibaya!
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,735 Dec 11, 2018 #109 Hamnaa Dreka said: Duùu. nikajua unatumia aifoni seven mkuu Click to expand...
The August JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 1,079 Reaction score 2,027 Dec 11, 2018 #110 Mzigua90 said: Ndo hiyo naitumia Click to expand... huwa nakukuadmire sana wewe dada....always real. bravo
Mzigua90 said: Ndo hiyo naitumia Click to expand... huwa nakukuadmire sana wewe dada....always real. bravo
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,735 Dec 11, 2018 #111 I'm humbled. Thank you mkuu The August said: huwa nakukuadmire sana wewe dada....always real. bravo Click to expand...
I'm humbled. Thank you mkuu The August said: huwa nakukuadmire sana wewe dada....always real. bravo Click to expand...
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,824 Reaction score 9,641 Dec 11, 2018 #112 Dreka said: Ndio hivo mzee kaka Click to expand... Mwenyewe kanielewa vibaya. Inaonekana ana maumivu sana!
Dreka said: Ndio hivo mzee kaka Click to expand... Mwenyewe kanielewa vibaya. Inaonekana ana maumivu sana!
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Dec 11, 2018 Thread starter #113 kuduman201036 said: VP hujauza korosho?? Click to expand... Korosho nimeuza ila sijalipwa.
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,437 Reaction score 35,964 Dec 11, 2018 #114 amu said: Rafiki mimi navuta nyota, rudisha urafiki wetu tupendane na kuaminiana tena. Click to expand... kama hautojali nitakutafuta siku nikufundishe kitu.. wamarakeni wana msemo wao trust no body, suspect everybody... huo msemo ukiutumia maishani au kwenye business huwezi pata shida zaidi ya kujilaumu mwenyewe
amu said: Rafiki mimi navuta nyota, rudisha urafiki wetu tupendane na kuaminiana tena. Click to expand... kama hautojali nitakutafuta siku nikufundishe kitu.. wamarakeni wana msemo wao trust no body, suspect everybody... huo msemo ukiutumia maishani au kwenye business huwezi pata shida zaidi ya kujilaumu mwenyewe
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,319 Reaction score 201,540 Dec 11, 2018 #115 Hornet said: Humu nimeahindwa kukileta Possible ways ni WhatsApp and Email Click to expand... Tumia pc kitakaa
Hornet said: Humu nimeahindwa kukileta Possible ways ni WhatsApp and Email Click to expand... Tumia pc kitakaa
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,844 Reaction score 52,251 Dec 11, 2018 #116 Cole Williams said: Tumia pc kitakaa Click to expand... Impossible
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,319 Reaction score 201,540 Dec 11, 2018 #117 Hornet said: Impossible Click to expand... Impossible kivipi? ??
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Dec 11, 2018 #118 Mzigua90 said: Hamnaa Click to expand... Sawa mkuu. hiyo simu janja yako ikizima. Nistue nkupushie nyingine
Mzigua90 said: Hamnaa Click to expand... Sawa mkuu. hiyo simu janja yako ikizima. Nistue nkupushie nyingine
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,844 Reaction score 52,251 Dec 11, 2018 #119 Cole Williams said: Impossible kivipi? ?? Click to expand... Kipo kwenye simu
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Dec 11, 2018 #120 Mzigua90 said: I'm humbled. Thank you mkuu Click to expand... Very few of you mmebaki hapa duniani.