Dulla Same Member Joined Sep 22, 2018 Posts 40 Reaction score 13 Sep 25, 2018 #1 Naitwa Dulla Same kutoka Mtwara ila sometimes naishigi Dar es salaam My hobby is to be a model So naomben support yenu Facebook : Dulla Same WhatsApp, call or sms +255717675101 Instagram account ndo naiandaa bd haijawa official Thanks View attachment 877597
Naitwa Dulla Same kutoka Mtwara ila sometimes naishigi Dar es salaam My hobby is to be a model So naomben support yenu Facebook : Dulla Same WhatsApp, call or sms +255717675101 Instagram account ndo naiandaa bd haijawa official Thanks View attachment 877597
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 43,383 Reaction score 108,085 Sep 25, 2018 #2 Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu....
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,794 Sep 25, 2018 #3 Dulla Same said: Naitwa Dulla Same kutoka Mtwara ila sometimes naishigi Dar es salaam My hobby is to be a model So naomben support yenu Facebook : Dulla Same WhatsApp, call or sms +255717675101 Instagram account ndo naiandaa bd haijawa official Thanks View attachment 877597View attachment 877598 Click to expand... Model bongo, utatumika hadi uje uwe mjanja ushawafanya jamaa milioneas we kalime korosho kijana achana na hayo makitu
Dulla Same said: Naitwa Dulla Same kutoka Mtwara ila sometimes naishigi Dar es salaam My hobby is to be a model So naomben support yenu Facebook : Dulla Same WhatsApp, call or sms +255717675101 Instagram account ndo naiandaa bd haijawa official Thanks View attachment 877597View attachment 877598 Click to expand... Model bongo, utatumika hadi uje uwe mjanja ushawafanya jamaa milioneas we kalime korosho kijana achana na hayo makitu
Dulla Same Member Joined Sep 22, 2018 Posts 40 Reaction score 13 Sep 25, 2018 Thread starter #4 Ushimen said: Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu.... Click to expand... Hata me naweza kuwa bwana ako Pesa hamna mahali inafeli
Ushimen said: Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu.... Click to expand... Hata me naweza kuwa bwana ako Pesa hamna mahali inafeli
Dulla Same Member Joined Sep 22, 2018 Posts 40 Reaction score 13 Sep 25, 2018 Thread starter #5 kapalamsenga said: Model bongo, utatumika hadi uje uwe mjanja ushawafanya jamaa milioneas we kalime korosho kijana achana na hayo makitu Click to expand... Pesa ipo, nitafanikisha tu
kapalamsenga said: Model bongo, utatumika hadi uje uwe mjanja ushawafanya jamaa milioneas we kalime korosho kijana achana na hayo makitu Click to expand... Pesa ipo, nitafanikisha tu
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,794 Sep 25, 2018 #6 Dulla Same said: Pesa ipo, nitafanikisha tu Click to expand... Suala siyo mpunga, connection kijana ndo kitu cha msingi
Dulla Same said: Pesa ipo, nitafanikisha tu Click to expand... Suala siyo mpunga, connection kijana ndo kitu cha msingi
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,827 Reaction score 92,096 Sep 25, 2018 #7 Ushimen said: Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu.... Click to expand... Daaaahhh Dulla Same said: Hata me naweza kuwa bwana ako Pesa hamna mahali inafeli Click to expand... Daaaah. JF bana
Ushimen said: Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu.... Click to expand... Daaaahhh Dulla Same said: Hata me naweza kuwa bwana ako Pesa hamna mahali inafeli Click to expand... Daaaah. JF bana
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,827 Reaction score 92,096 Sep 25, 2018 #8 Mkuu hapa ndo penyewe, utaungwa mkono tu
Dulla Same Member Joined Sep 22, 2018 Posts 40 Reaction score 13 Sep 25, 2018 Thread starter #9 kapalamsenga said: Suala siyo mpunga, connection kijana ndo kitu cha msingi Click to expand... Na bila mpunga huwez pata connection
kapalamsenga said: Suala siyo mpunga, connection kijana ndo kitu cha msingi Click to expand... Na bila mpunga huwez pata connection
Tajiri mpole JF-Expert Member Joined Apr 15, 2018 Posts 3,127 Reaction score 6,085 Sep 25, 2018 #10 Ushimen said: Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu.... Click to expand... Huyu dogo ninawasiwasi nae,ameingia mjini kwa pupa,ngoja atafunwe.
Ushimen said: Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu.... Click to expand... Huyu dogo ninawasiwasi nae,ameingia mjini kwa pupa,ngoja atafunwe.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,745 Sep 25, 2018 #11 Ushimen said: Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu.... Click to expand... Ni kweli mkuu,JF ina wanaume waharibifu sana!
Ushimen said: Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu.... Click to expand... Ni kweli mkuu,JF ina wanaume waharibifu sana!
kama zote Member Joined Jan 23, 2018 Posts 40 Reaction score 42 Sep 25, 2018 #12 Jiangalie sana humu kuna mijimama inapulua mpaka ngozi
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 43,383 Reaction score 108,085 Sep 25, 2018 #13 Tajiri mpole said: Huyu dogo ninawasiwasi nae,ameingia mjini kwa pupa,ngoja atafunwe. Click to expand... Na mbaya zaidi naona ameambatanisha na picha ya mrembo kwenye uzi wake....
Tajiri mpole said: Huyu dogo ninawasiwasi nae,ameingia mjini kwa pupa,ngoja atafunwe. Click to expand... Na mbaya zaidi naona ameambatanisha na picha ya mrembo kwenye uzi wake....
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 43,383 Reaction score 108,085 Sep 25, 2018 #14 Behaviourist said: Ni kweli mkuu,JF ina wanaume waharibifu sana! Click to expand... Tatizo mvulana amehisi nimemtusi, ilhali nimemtahadharisha tena kiroho safi.....
Behaviourist said: Ni kweli mkuu,JF ina wanaume waharibifu sana! Click to expand... Tatizo mvulana amehisi nimemtusi, ilhali nimemtahadharisha tena kiroho safi.....
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,343 Sep 25, 2018 #15 Dogo sijakuelewa ujue
omarion5 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2017 Posts 5,206 Reaction score 17,687 Sep 25, 2018 #16 Dah karibu sana mkuu
ema nuel JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 570 Reaction score 577 Sep 25, 2018 #17 Aiseee umeambatanisha na picha kabisa
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,464 Reaction score 67,455 Sep 25, 2018 #18 Huyo ni wewe?
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,748 Sep 25, 2018 #19 Dogo una Elimu gani?
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,793 Reaction score 11,080 Sep 25, 2018 #20 Ma-model wengi si ndo wahajihusishaga sana na kutoa chanel o...na wewe unatoa...?