Habari zenu wakuu.
Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu
Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu yangu lakini sijajisajili.
Nategemea ushirikiano wenu.
Alamsik.