Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,207 Reaction score 8,447 Aug 19, 2020 #21 Weka picha
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,945 Aug 19, 2020 #22 Miss Sia said: I’m new here Click to expand... Karibu, ila humu kuna watu wa kila aina, wapo wanaosema kwamba hakuna Mungu nk,🤣🤣
Miss Sia said: I’m new here Click to expand... Karibu, ila humu kuna watu wa kila aina, wapo wanaosema kwamba hakuna Mungu nk,🤣🤣
orturoo JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,960 Reaction score 4,929 Aug 19, 2020 #23 Miss Sia said: Course gani iyo? Click to expand... namna yakuingia inbox, Aina za majukwaa, na mengineyo
Miss Sia said: Course gani iyo? Click to expand... namna yakuingia inbox, Aina za majukwaa, na mengineyo
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #24 Mkaruka said: L Labda Tangazo. Jaribu kuweka kwenye jukwaa la matangazo Click to expand... Ni tangazo na nimeliweka kwenye jukwaa la matangazo madogo
Mkaruka said: L Labda Tangazo. Jaribu kuweka kwenye jukwaa la matangazo Click to expand... Ni tangazo na nimeliweka kwenye jukwaa la matangazo madogo
Guacamole JF-Expert Member Joined Mar 19, 2019 Posts 6,080 Reaction score 16,052 Aug 19, 2020 #25 Mgeni umesahau kuweka avatar
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #26 orturoo said: namna yakuingia inbox, Aina za majukwaa, na mengineyo Click to expand... Labda hizo aina za majukwaa coz kuingiq inbox inajionyesha tu bila hata kuelekezwa
orturoo said: namna yakuingia inbox, Aina za majukwaa, na mengineyo Click to expand... Labda hizo aina za majukwaa coz kuingiq inbox inajionyesha tu bila hata kuelekezwa
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #27 MalcolM XII said: Mgeni umesahau kuweka avatar Click to expand... Ntaweka
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #28 Behaviourist said: Umeshapima Corona? Click to expand... no.....
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #29 Mokaze said: Karibu, ila humu kuna watu wa kila aina, wapo wanaosema kwamba hakuna Mungu nk, Click to expand... Lol.... ok
Mokaze said: Karibu, ila humu kuna watu wa kila aina, wapo wanaosema kwamba hakuna Mungu nk, Click to expand... Lol.... ok
Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,474 Reaction score 13,637 Aug 19, 2020 #30 Miss Sia said: I’m new here Click to expand... Welcome to our awesome town JF
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #31 Cvez said: Welcome to our awesome town JF Click to expand... Thank you
DanbyHR JF-Expert Member Joined Sep 30, 2014 Posts 286 Reaction score 394 Aug 19, 2020 #32 I'm DanbyHR, karibu sana. Humu ndani wengi ni wawili wawili. Nlikuwa mwenyewe, please be my partner...
I'm DanbyHR, karibu sana. Humu ndani wengi ni wawili wawili. Nlikuwa mwenyewe, please be my partner...
orturoo JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,960 Reaction score 4,929 Aug 19, 2020 #33 Miss Sia said: Labda hizo aina za majukwaa coz kuingiq inbox inajionyesha tu bila hata kuelekezwa Click to expand... embu Ingia nione
Miss Sia said: Labda hizo aina za majukwaa coz kuingiq inbox inajionyesha tu bila hata kuelekezwa Click to expand... embu Ingia nione
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #34 DanbyHR said: I'm DanbyHR, karibu sana. Humu ndani wengi ni wawili wawili. Nlikuwa mwenyewe, please be my partner... Click to expand... ndo inakuaje hiyo?
DanbyHR said: I'm DanbyHR, karibu sana. Humu ndani wengi ni wawili wawili. Nlikuwa mwenyewe, please be my partner... Click to expand... ndo inakuaje hiyo?
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #35 orturoo said: embu Ingia nione Click to expand... Ok
DanbyHR JF-Expert Member Joined Sep 30, 2014 Posts 286 Reaction score 394 Aug 19, 2020 #36 Miss Sia said: ndo inakuaje hiyo? Click to expand... Mi naomba ukienda jukwaa la mahusiano, nkumbuke na mimi.
Miss Sia said: ndo inakuaje hiyo? Click to expand... Mi naomba ukienda jukwaa la mahusiano, nkumbuke na mimi.
Malaika Gabrieli JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 3,294 Reaction score 6,123 Aug 19, 2020 #37 Miss Sia we ni chama gani kati ya hv... ccm, chadema, chauma, tlp?
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #38 DanbyHR said: Mi naomba ukienda jukwaa la mahusiano, nkumbuke na mimi. Click to expand... ok
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #39 Ed Kawiche said: Miss Sia we ni chama gani kati ya hv... ccm, chadema, chauma, tlp? Click to expand... Not into politics
Ed Kawiche said: Miss Sia we ni chama gani kati ya hv... ccm, chadema, chauma, tlp? Click to expand... Not into politics
Miss Sia Senior Member Joined Aug 12, 2020 Posts 108 Reaction score 117 Aug 19, 2020 Thread starter #40 Behaviourist said: Ambao hawajapima Corona hawatakiwi hapa! Click to expand... mm sina coz sijaona symptoms zozote
Behaviourist said: Ambao hawajapima Corona hawatakiwi hapa! Click to expand... mm sina coz sijaona symptoms zozote