Hela! We acha tu

Shin Lim

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
8,103
Reaction score
14,854
Binti alitoweka kijijni kwao akarejea baada ya miaka 3

Baba; We mtoto ulipotelea wap?
Bint: Nlikua nafanya kazi ya UMALAYA Marekan!

Baba; Mshenzi, umetutia aibu, toka na usikanyage tena hapa.
Bint: Sawa baba kabla sijaondoka, nimewanunulia nyumba ya kisasa mjini na milion 75 nimewawekea benk, gari nilokuja nalo ni la kwako!

Baba; ulisema unafanya kazi gani? Bint; UMALAYA

Baba; Aahaa, nilidhani UYAYA!
Karibu ndani mwanangu hongera kwa ubunifu safari hii uende na mamaako.
 

Duuuuu!pesa kwel hatari!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…