Ha ha ha jamani kweli kawatibua nyongo huyu Mama Spika ,haya bwana ngoja tumpe muda isije ikawa tunamsifia mgema tembo akalitia majithreads nyingine ziwe zinaandikwa kwa chaki na zipewe mda maalum lets say 2 min halafu ziwe deleted
kweli mkuu amefunika kombe mwanaharamu apite maana silinde angelipukaHivi hujui Speaker ni M cc yaani mjumbe wa kamat kuu na NEC???sasa Silinde angeambiwa athibitishe na nnavyomjua angewataja wajumbe hao si ingekuwa soo!!!! Hapo bi kiroboto kacheza kama Pele
Tangu jana wenyeviti wa kuendesha Bunge na wewe mwenyeo leo umeonyesha huna mchezo tena wa kuendekeza miongozo,nimelishuhudia ukimzima Ole Sendeka alipotaka MB.Silinde afute kauli yake kwamba kuna wabunge wa CCM wanaitwa na CC yao na kupewa vitisho,Ukiendelea namna hii sasa bunge lako litaheshimiwa
My.Take ,Jamani JF members na wananchhi wengine tuendelee kukemea maovu kumbe kuna wakati inaweza kutengeneza impact