Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
kweli mkuu, niliangalia itv na inatia moyo. mbegu za mabadiliko zinaanza kuota na muda sio mrefu zitatoa matunda maana hiyo wilaya siku za nyuma hakuna mtu aliweza kujua ni nini kilikuwa kikiendelea huko halmashauri na ukichukulia geografia ya mji jinsi ilivyo. Kilichotokea hapo awali ni 'mamilionea' kutokea huko lakini kwa hili nililoliona jana huenda heshima ya wilaya hiyo ikarejea.Muleba wameonesha njia, ambayo kila mara watz, waliikosea ndo tukawa fukara ile hali nchi ni tajiri. Bravoooooooooo
Hawa wanafiki tu. Walipitisha tena kwa kumuomba radhi ded!Nilifurahi sana jinsi madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba walisvyoshikamana kuipinga bajeti iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Wilaya. Walidai hawaipitishi kwa sababu kiasi kikubwa kimetengwa kwa ajili ya matumizi ya ofisi ambayo yanawanufaisha watendaji wa halmashauri; na kiasi kidogo ndicho kilitengwa kwa ajili ya maendeleo.
Mama (Mkurugenzi) alimwaga chozi na kuamuru watendaji wa halmashauri watoke nje.
Itapendeza kama madiwani wengine wataiga mfano huu mzuri.
Source: ITV
hata bila rufaa, we unamuonaje huyu bwana na uwezo wa kutatua matatizo yaliyopo! ...tujifunze kupitia njia tunazozijua hata kama ni ndefu kwa kuonekana badala ya 'short cuts' tusizozijua mkuuKamanda Tibaigana anajiandaa kuvaa gwanda huko Muleba! Hebu kwanza tusikie ataamuaje rufaa ya Yanga leo!