Hekima za Mzee Nelson Mandela

"It is better to lead from behind and to put others in the front, especially
when you celebrate victory ... You take the front line when there is danger.
The people will appreciate your leadership."
Dr. Nelson Rolihlahla Mandela
Kumbe.
 
Huyu mtu alitumwa kweli na Mungu wa mbinguni, wengine wote ni matapeli tu.

Kweli kabisa ukiangalia kwa uhakika instead of visasi alirudisha upendo na kuiweka Afrika kusini katika nafasi nzuri sana ya kuanza kuaminiana tena.

Tanzania tunahitaji kiongozi kama Mandela.Lakini huyu hakuwa Mwalimu alikuwa mwanasheria,ndiyo sababu nikifikiria nafasi kubwa kama hizi yapasa watu wenye taaluma ya sheria.Tumuangalie Pinda na weakness yake lakini alikuwa anamaamuzi yenye busara muda mwingi
 
Upo sahihi kabisa mpendwa.
 
Wapigwe tu hakuna namna nyingine.....PINDA.
 
Wapigwe tu hakuna namna nyingine.....PINDA.

Tombatomba idevice Model TH 45

Ndiyo maana nimesema pamoja na weakness zake bado alikuwa na hekima na busara kwenye maamuzi yake.Na nina uhakika alilijutia neno hili kwa sababu ya taaluma yake
 
Mimi nahisi viongozi wanazaliwa wakiwa viongozi maana kama ni uanasheria unahisi tukimpa chenge nchi anaweza kufanya japo 10% ya mandela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo huku wa kwetu anatamani awe IGP...nadhani huyu hufurahia Wananchi wake wakipata matatizo, vinginevyo sioni sababu tofauti za yeye kuutamani u IGP.
R.I.P The Great Nelson Mandela...
 
Mimi nahisi viongozi wanazaliwa wakiwa viongozi maana kama ni uanasheria unahisi tukimpa chenge nchi anaweza kufanya japo 10% ya mandela

Sent using Jamii Forums mobile app

Ttaizo la Chenge ni ule ujambazi wake lakini Mzee wa watu nadhani yuko vizuri kichwani hana jaziba wala chuki.Anajua kula na watanzania hawashiki mikono
 
Huyu mtu alitumwa kweli na Mungu wa mbinguni, wengine wote ni matapeli tu.
Mungu anapomtuma mtu wake kwa wanadamu kuna viashiria na matendo flani utayaona kwa huyo nabii/mtume, sijui kama unavijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…