Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.
Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.
Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:
Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?
Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?
Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.
Na hilo ndilo neno la Bwana.
Hatuhitaji huruma ya mtuKampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.
Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.
Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:
Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?
Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?
Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.
Na hilo ndilo neno la Bwana.
Simbachawene amewaangusha sana wenzake. Kitendo cha kusema muda hautoshi maana yake amehalalisha yale madai yote. Halafu wataulizwa muda hautoshi kwani madai ni ya leo au jana? Kiufupi amejikoroga.Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.
Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.
Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:
Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?
Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?
Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.
Na hilo ndilo neno la Bwana.
Hata mtoto wa std 7 anafahamu hili. Ila Hawa waasi wa kijani ndio wanatuona hsmnazo. Pumbav sana.Huu ndo ukweli wenyewe
Gentleman,Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.
Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.
Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:
Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?
Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?
Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.
Na hilo ndilo neno la Bwana.
FutuhiWewe na huyu mlivyo:
Kuna global online kuhusu kesi moja ya kijana kufa miezi hii kituo cha polisi wakadai kutoroka chumba cha mahabusu na kwenda ofisi za mpelelezi na kukuta kisu ambacho ofisini wanatumia kukatia maparachichi ofisini.
Alipo ulizwa muriro alidai hiyo kesi ni ya zamani sana tokea mwaka jana .
View attachment 3308763
Ukizoea vya kunyongwa,vya kuchinjwa uviwezi!
Kweli kabisa hata mtoto mchanga anaweza kuona logic hapa.Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.
Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.
Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:
Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?
Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?
Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.
Na hilo ndilo neno la Bwana.
Mungu atafanya jambo soon! stay tunedMajizi ya ccm yakotayari kuua hata robo tatu ya watanzania ila siyo kutoka madarakani