Hekima 10

Namba 4 hebu ifafanue zaidi.
Hayo mambo yapo kigoma huko , walimuuliza hakimu hilo swali akashindwa kulijibu , Yaani mchawi aliingia Kwa mtu akafanya yake , kesho yake huyo aliyeingiliwa na mchawi akaenda kumshambulia mchawi , huyo jamaa akafikishwa mahakamani Kwa kosa la shambulio , yeye aliwauliza kwamba mchawi kuingia kwake ni halali, lakini yy kumfuata na kumuuliza Tena hadharani sio halali?
 
Kuna Kibaka mmoja hapa Mtaani alistaafu ukibaka akawa anaomba omba tu watu wanamkataa. Akaanzisha kamsemo Wakiombwa hawatoi halafu na Wewe unakuja na Msipoombwa hamtoi 🀣🀣🀣
Kwender 😏😏
 
Kwahiyo alipaswa amalizane nae siku ile ile aliyoingia kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…