mpiganaji86
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 110
- 13
Nimepitia makala hii kwa umakini sana nakuona dhahiri uyu mhariri wa mwananchi moses mashala ndani ya ukurasa wa 11 wa gazeti ameipamba cuf kana kwamba kama vile hawa ccm b wameiteka arusha nashangaa sana chama ambacho kimebeba watu toka dar mpaka arusha na macoster alafu mhariri anasema kwamba walijaza mkutano inaonekana wazi amekula rushwa , kampuni ya mwananchi kama mnasoma humu angalieni wahariri kama hawa watawapotezea wateja maana gazeti lenu limekuwa na wasomaji wengi sana ndani ya nchi na nje ya nchi,nimeona nilete hapa jamvini na nyie wadau mchangie hili
Sauti huru - gazeti linalomilikiwa na vasco Dagama wa Tanzania na kizazi cha leo Afrika. Ni chombo cha propaganda kupunguza kiwingu cha lawama za wapiga kura.Wacha wajidanganye wao na ccm kazi yao imeisha nilipanda kwenye hiace wiki iliyopita na mgomea wao wa ubunge Arusha mjini 2010, nikamshangaa kweli anakazana sana kusoma gazeti la kizushi na kipropaganda la TAZAMA TANZANIA nikamtazama nikajua huu usomi wake aliokuwa anadai anayo masters haimsaidii kabisa kusoma tu magazeti yanayopumbaza watz kuminya kila anatafuta haki ya watz....... kuangalia zaidi anasoma gazeti jingine la sauti huru ...... nikajua huyu huku anatafuta tu kitu cha kushambulia CDM badala ya kusoma magazeti yenye hoja anasoma tu udaku hawa jamaa kwisha
CUF imeacha fujo?!!!!!! vurugu za mwaka 2001 zilisababishwa na nani vile? Ni chama gani kilicholeta vurugu nchini na kusababisha watu 31 kufariki dunia? Ni chama gani kilicholeta vurugu nchini na kusababisha wakazi wengine wa Tanzania kukimbilia shimoni Kenya na kuishi kama wakimbizi?CUF imeanza kupata nguvu baada ya CDM kuonekana chama cha fujo.Arusha walipata watu wengi tu na hii ndio inawajambisha wanacdm humu JF.
Mkuuu iliyeleta mada mimi kwa macho yangu niliona izo gari zimebeba wafuasi wao tena ni waislam nadiliki kusema hiki si chama bali ni wafuasi wa dini flani wameungana wakatengenza chama so hata sisi walokole chama chetu kinakuja
CUF imeanza kupata nguvu baada ya CDM kuonekana chama cha fujo.Arusha walipata watu wengi tu na hii ndio inawajambisha wanacdm humu JF.
kama wachaga walivyoungana na kuanzisha chama chao cha kikatoliki cha cdm.