Heheheheiya!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,001
Reaction score
72,284
INAITWA KOMOA NIKUKOMOE!!
Mke: Mume wangu naomba pesa nikanunue nyama.

Mume: Twende chumbani ukachukue, walipofika Mume kaitoa elfu 5 akaionyesha kwenye kioo akamwambia Mkewe umeiona ile elfu 5 kwenye kioo?

Mke: ndio

Mume: ile ndo yako na hii haikuhusu alafu akaondoka kazini,
Jioni aliporudi akakuta rost la nguvu.

Mume: umepata wapi pesa ya kununulia hizi nyama?

Mke: twende chumbani, walipofika akavua chupi akaonyesha ku.ma kwenye kioo akamwambia" umeiyona ile ya kwenye kioo ndo yako, hii ya muuza nyama.
 
Ila rosti si nakula hata kama yangu ya kwenye kioo
 
hiki kituko chakwako chakwetu hikiuku kwenye skrini zetu
 
Ila ki-ukweli huyu jamaa kutafuniwa alitaka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…