Hee! Uso kwa uso na lishoga!

Hee! Uso kwa uso na lishoga!

Status
Not open for further replies.

Iron

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2008
Posts
363
Reaction score
150
Watu wa haki za binadamu mtanisamehe. Hivi wanaume wamekuwaje jama? Mimi siku zote huwa nasikia mashoga... mashoga. Sijawahi mwona uso kwa uso. Juzi maeneo ya Jangwani nipo kwenye foleni naona mtu anajitembeza kwenye hizi barabara zinazojengwa za mabasi yaendayo kasi. Loh! Jianaume zima limejiremba na kujilegeza legeza alafu linajitembeza kwa kuvuta attntion. Halafu saa tano asubuhi. Mpaka nywele limeweka dawa. Ilikuwa kituko kuna ustaadhi mmoja alitaka kumzaba kibao. Mpaka sasa nashindwa kuelewa inakuwaje mwanaume unafurahia kupumuliwa kisogoni? Too bad
 
he he he haki za binadamu wakati mwneyewe ndo mstari wa mbele kuwatetea na kuwapibia debe watu wawakubali katika jamii kuwa ni haki yako, naona km unaota ndoto za mchana, dunia imevaa bikini ndg yangu haya uliona ww
 
Ni kama vile sijakuelewa!
 
Ukikutana na shoga au ukimuona....nasikia ni laana. Lazima..kama sio wewe basi mtoto wako au kaka yako ipo siku atapigiwa kwenye 0713.

Anza kukemea bro!
 
Hawa watu hawasemwi ndugu we tulia uone watakuja sasa hivi kukuelezea vizuri haki zilivyo halafu niwakali hatari labda wakuonee huruma tu teh teh teh!
 
Mbona Kawaida tu.... kuna mashoga sa hv acha kabisa. .. kuna jamaa angu alitusimulia alikutana nae kwenye daladala.. kiti kimoj wamekaa akashangaa anaanza kushikwa mapaja..

Huku vyuoni ndo usiseme wananukia marashi na kujipiga poda kabisa.. ukipishana nae utadhani umepishana na demu...
 
Dawa ya kutokomeza Mashoga ni mabasha kutubu dhambi zao na kutorudia huo uchafu tuone Mashoga watajitooombaaaa!
 
Wana mapepo hao tena yale makubwa mi huwa nawaita wanuka mavi tuuuu
 
Maendeleo mtazoea tu hata enzi zileee tunakua ilikuwa mwanamke akivaa suruali basi anaitwa changudoa, lakini saivi....
 
Ukikutana na shoga au ukimuona....nasikia ni laana. Lazima..kama sio wewe basi mtoto wako au kaka yako ipo siku atapigiwa kwenye 0713.

Anza kukemea bro!

Kweli we una kithembe!
 
Maendeleo mtazoea tu hata enzi zileee tunakua ilikuwa mwanamke akivaa suruali basi anaitwa changudoa, lakini saivi....

Lazima tafsiri ya maendeleo itakuwa ni pana sana! Yani wanawake kuvaa suruali na ushoga nayo maendeleo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom