B Big People Member Joined Jan 3, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Apr 2, 2014 #1 Habari zenu wana jf? naomba kuuliza,ni cku ngapi na zipi ambazo mwamnamke akfanya ngono zembe hawezi pata mimba?
Habari zenu wana jf? naomba kuuliza,ni cku ngapi na zipi ambazo mwamnamke akfanya ngono zembe hawezi pata mimba?
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,711 Apr 2, 2014 #2 Ref; Biology O level. Shule kwanza.
Box 2 JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 506 Reaction score 117 Apr 2, 2014 #3 Big People said: Habari zenu wana jf? naomba kuuliza,ni cku ngapi na zipi ambazo mwamnamke akfanya ngono zembe hawezi pata mimba? Click to expand... BIG PEOPLE hedhi ni siku 30 kama wewe ni mrefu kama ni mfupi siku 28,inategemea pia kama wewe ni mweupe ama mweusi.
Big People said: Habari zenu wana jf? naomba kuuliza,ni cku ngapi na zipi ambazo mwamnamke akfanya ngono zembe hawezi pata mimba? Click to expand... BIG PEOPLE hedhi ni siku 30 kama wewe ni mrefu kama ni mfupi siku 28,inategemea pia kama wewe ni mweupe ama mweusi.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,030 Reaction score 126,474 Apr 2, 2014 #4 Big People said: Habari zenu wana jf? naomba kuuliza,ni cku ngapi na zipi ambazo mwamnamke akfanya ngono zembe hawezi pata mimba? Click to expand... Ulichoandika hapa na Kichwa cha Habari Ni Kama Matapishi na Uharo!!!!!!!!!!!!!!!!
Big People said: Habari zenu wana jf? naomba kuuliza,ni cku ngapi na zipi ambazo mwamnamke akfanya ngono zembe hawezi pata mimba? Click to expand... Ulichoandika hapa na Kichwa cha Habari Ni Kama Matapishi na Uharo!!!!!!!!!!!!!!!!
F fiter JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 1,144 Reaction score 79 Apr 2, 2014 #5 inategemea ntu na ntu
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,792 Apr 2, 2014 #6 Hilo suala nenda kilaza kama wewe nenda ww.google.com/ask ili wakueleze ulichouliza ni sawa na mwanamke akuulize mwanaume anatahiriwa akiwa na umri gani! Big People said: Habari zenu wana jf? naomba kuuliza,ni cku ngapi na zipi ambazo mwamnamke akfanya ngono zembe hawezi pata mimba? Click to expand...
Hilo suala nenda kilaza kama wewe nenda ww.google.com/ask ili wakueleze ulichouliza ni sawa na mwanamke akuulize mwanaume anatahiriwa akiwa na umri gani! Big People said: Habari zenu wana jf? naomba kuuliza,ni cku ngapi na zipi ambazo mwamnamke akfanya ngono zembe hawezi pata mimba? Click to expand...
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Apr 2, 2014 #7 hawa watoto wa shule siku hizi wamejazana na hawajui maan aya jf wanafikiri hapa ni fesibuku biology 3 utapata huko
hawa watoto wa shule siku hizi wamejazana na hawajui maan aya jf wanafikiri hapa ni fesibuku biology 3 utapata huko
Magnificient JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,177 Reaction score 733 Apr 2, 2014 #8 Ngoja nipite kimya kimya tu, sina uhakika na mental health yako!
B Big People Member Joined Jan 3, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Apr 3, 2014 Thread starter #9 hyo factor ya mweupe au mweus inakuwaje?