B Beautifulgirl JF-Expert Member Joined Oct 22, 2016 Posts 300 Reaction score 265 Dec 7, 2016 #1 Jamani nasikia wanafunzi wanaojiunga vyuo vya diploma ya ualim wanatakiwa kujihudumia chakula kwa pesa yao.wenye kujua naomba msaada wa katika hili.
Jamani nasikia wanafunzi wanaojiunga vyuo vya diploma ya ualim wanatakiwa kujihudumia chakula kwa pesa yao.wenye kujua naomba msaada wa katika hili.
arusha nalompa Member Joined Aug 4, 2016 Posts 83 Reaction score 37 Dec 7, 2016 #2 Inategemea na chuo mkuu
B Beautifulgirl JF-Expert Member Joined Oct 22, 2016 Posts 300 Reaction score 265 Dec 7, 2016 Thread starter #3 Vyuo vya serikali mkuu
M makaghari JF-Expert Member Joined Jun 20, 2014 Posts 544 Reaction score 530 Dec 7, 2016 #4 Sio kweli...Nipo jirani na chuo cha serikali ila sijasikia hicho kitu.
K kabotis Member Joined Jul 21, 2016 Posts 38 Reaction score 22 Dec 7, 2016 #6 makaghari said: Sio kweli...Nipo jirani na chuo cha serikali ila sijasikia hicho kitu. Click to expand... Nilidhani ni mwanachuo
makaghari said: Sio kweli...Nipo jirani na chuo cha serikali ila sijasikia hicho kitu. Click to expand... Nilidhani ni mwanachuo