Hebu tutafakari kwa pamoja.

streat Anthem

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
395
Reaction score
476
Dunia ina mengi yanafanyika,na kila jambo linasauti au mlio wa kipekee tofauti na mwingine
Yaani kuna sauti ya Gari, sauti za muziki, sauti zitokazo viwandani na shughuli nyingine za mwanadamu, wanyama, mimea, maji na hata upepo
Sasa je ukiziunganisha sauti hizo kwa pamoja na kuzisikiliza Kwa wakati mmoja utapata sauti gani? au ya namna gani?
 
Duuh sipati jibu kamili ni sauti ya aina gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…