Matango JF-Expert Member Jan 14, 2011 535 118 Oct 28, 2011 #81 Hivi kweli hatujui namna ya kuondokana na Umaskini ?? fofofo said: wenzetu wako mbali kwa kila nyanja za maisha ni muhimu wakatupa somo jinsi walivyoukimbia umasikini Click to expand...
Hivi kweli hatujui namna ya kuondokana na Umaskini ?? fofofo said: wenzetu wako mbali kwa kila nyanja za maisha ni muhimu wakatupa somo jinsi walivyoukimbia umasikini Click to expand...
C Chesty JF-Expert Member Aug 30, 2009 5,777 2,720 Oct 28, 2011 #82 Wozoza said: Jakaya Usisahau kuwaomba hao jamaa waje watusaidie kuzibua mifereji ya maji machafu Click to expand... Hiyo mifereji iko wapi, waje watusaidia kutujengea mifereji ya maji machafu.
Wozoza said: Jakaya Usisahau kuwaomba hao jamaa waje watusaidie kuzibua mifereji ya maji machafu Click to expand... Hiyo mifereji iko wapi, waje watusaidia kutujengea mifereji ya maji machafu.
trachomatis JF-Expert Member Jun 7, 2011 3,758 736 Oct 28, 2011 #83 Naona tunahitaji mabadiliko.. Mabadiliko ya mfumo tena.. Tunahitaji watu wenye utashi mpya.