mwambie alee tu..Kama sio yake atakuwa katoa msaadaAna mwezi na mimba ina mwezi
Babu shikamooWatoto ni mpango wa Mungu. Ukilazimisha sana kuwapata utasaidiwa kuwapata.
Mwambie kaka yako mimi babu yenu nimesema hivyo eti.
Ila kama hili jambo linakuhusu wewe (babu sioni mantiki ya kaka aliyekuzidi umri aje akuletee hii siri ya maisha yake ya unyumba wewe dogo ambaye pia hujui cha kumshauri mpk ukaleta huku).... basi usirudie tena. Utalea wana si wako. Shauri zako
Swala si kusingiziwa. Swala ni kwanini usingiziwe.... unapopress sana kupata mtoto.... na mkeo akajua. Atatafuta njia yoyote ule akutimizie haja yako. Ndo hapo sasa mtakapoanza kulea watoto wa wenzenu mkidhani ni wenu.Babu shikamoo
Kwahiyo hata kama tukisingiziwa tulee tu?!
Asante babuSwala si kusingiziwa. Swala ni kwanini usingiziwe.... unapopress sana kupata mtoto.... na mkeo akajua. Atatafuta njia yoyote ule akutimizie haja yako. Ndo hapo sasa mtakapoanza kulea watoto wa wenzenu mkidhani ni wenu.
Mpende mkeo, watoto ni majaliwa ya Mungu.
Ndio unaweza; Shida yetu kubwa bongo ni watalaamu wa kusoma hizo ultra sound - inatoaga mpaka makadirio ya uzito wa mtoto!Hivi ukipima ujauzito unaweza kujua umri wake? Jibu please
Hili nalo Neno!! Shikamoo😳Swala si kusingiziwa. Swala ni kwanini usingiziwe.... unapopress sana kupata mtoto.... na mkeo akajua. Atatafuta njia yoyote ule akutimizie haja yako. Ndo hapo sasa mtakapoanza kulea watoto wa wenzenu mkidhani ni wenu.
Mpende mkeo, watoto ni majaliwa ya Mungu.
Niambie nilichokukosea nikuombe msamaha.Hili nalo Neno!! Shikamoo😳